USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 11,718 Reaction score 27,815 Jan 12, 2022 #1 Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana Wewe mtaani kwako zipo? USSR
Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana Wewe mtaani kwako zipo? USSR
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Jan 12, 2022 #2 Zipo tele
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,765 Reaction score 86,446 Jan 12, 2022 #3 Ngoja tugugu tuone..
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,228 Reaction score 89,115 Jan 12, 2022 #4 Huku zipo Pespi na Cacacola.
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,889 Jan 12, 2022 #5 Mimi tarehe tatu ivi nilitafuta Sana ila nikafanikiwa kupata coke na sprite
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,212 Reaction score 80,121 Jan 12, 2022 #6 Soda zilianza kuadimika tangu tarehe 24 December ilikuwa ni mwendo wa mirinda, sprite na cocacola kwa wingi.
Soda zilianza kuadimika tangu tarehe 24 December ilikuwa ni mwendo wa mirinda, sprite na cocacola kwa wingi.
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,618 Reaction score 13,880 Jan 12, 2022 #7 USSR said: Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana Wewe mtaani kwako zipo? USSR Click to expand... Ki ukweli kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa soda, sasa sijui tatizo ni nini?!au kuna mabadiriko ya bei mpya inakuja?
USSR said: Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana Wewe mtaani kwako zipo? USSR Click to expand... Ki ukweli kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa soda, sasa sijui tatizo ni nini?!au kuna mabadiriko ya bei mpya inakuja?
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Jan 12, 2022 #8 Nalitafuta pepsi ndogo wiki kama moja hivi ila jana nikafanikiwa kupata.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,992 Reaction score 132,361 Jan 12, 2022 #9 Achana na masoda Soda ni dope tu Ona addiction inavyowapelekesha watu Ova
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,946 Reaction score 38,658 Jan 12, 2022 #10 USSR said: Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana Wewe mtaani kwako zipo? USSR Click to expand... Video ileeee....
USSR said: Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana Wewe mtaani kwako zipo? USSR Click to expand... Video ileeee....
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,342 Reaction score 12,065 Jan 12, 2022 #11 Achana na soda kunywa laga
Little brain JF-Expert Member Joined Oct 31, 2020 Posts 4,395 Reaction score 6,553 Jan 12, 2022 #12 Picha ya soda please
ram Platinum Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,345 Reaction score 8,565 Jan 12, 2022 #13 USSR said: Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana Wewe mtaani kwako zipo? USSR Click to expand... Wape taarifa Pepsi, mimba yangu ikitoka nitawafungulia mashtaka, sio kwa mateso haya
USSR said: Huku wanasema hakuna kabisa nimetafuta kreti moja ya familia hakunaga kabisa kila kwa agent wanasema hakuna soda tangu mwisho wa mwaka jana Wewe mtaani kwako zipo? USSR Click to expand... Wape taarifa Pepsi, mimba yangu ikitoka nitawafungulia mashtaka, sio kwa mateso haya