pirates lil
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 958
- 915
Pole angalia kuna ukimwi usiende uko utampata tu akupendaye[emoji108] [emoji126]Hello,
Hii hali ya wadada kutupiga mizinga ilikuwepo ila kwa sasa naona hii hali imezidi, wanawake free wanapungua kwa kasi ya 4G kama sio 120km/hr. Karibia kila msichana ninaemtongoza (kati ya wasichana 25 ninaowatongoza, 98.9%of them) lazima aniombe zawadi. Nikiwaambia waje nyumbani wachukue hawataki.Sasa dili ni kwenda tu ambiance kununua changudoa maana hakuna namna sasa hivi.