Nicheki pmPeleni na majukumu.
Natatafuta mtu mwenye ujuzi na programu ya MATLAB, sana sana kwenye Signal processing.
Lengo ikiwa ni kutengeneza project.
Kama unaujuzi huo na unaweza kuniongoza kujenga project kwenye programu husika naomba uni PM, malipo yapo.