Mtaalamu wa massage anahitajika

N
Nasusa harufu ya ushoga humu ndani. Wote wapumbavu nyie unashindwa kufanya mazoezi mpaka urambwe rambwe mwili wako? Shenzi kabisa
Mshenzi mwenyewe mkuu ushoga ni namna unavyojiweka mwenyewe
 
Mimi sijui hiyo kitu hivi inafanywaje na malengo yake ni yapi?
 
Hodi wana jamvi nahitaji mtaalam wa kunifanyia massage ambaye anauzoefu wa kutosha na awe tayari kufanya huduma hiyo sehemu tofauti na anapofanyia.

Awe mwanamke ambaye atakuwa tayari ani PM kwa makubaliano zaidi.
Nafasi ya kazi bado ipo? Nna vigezo na experience ya miaka 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…