Mtaalamu wa madini pitia hapa

Mtaalamu wa madini pitia hapa

NITAKUKAMATA TU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
346
Reaction score
434
Msaada kwa mtaalamu wa madini je haya yanaweza yakawa mawe ya thamani ?View attachment 1910283View attachment 1910282View attachment 1910284
IMG_20210824_094811_068.jpg
 
Yanaitwa Pyrate, ni madini but yanathamani ndogo, yanauzwa kwa Tani.
Ni raw materials ya Viwandani.
Yana Elements za Aina tofauti za madini kulingana na yalipotoka.
Miaka ya nyuma watu waliuziwa wakidanganywa ni Dhahabu.

Waswahili wanayaita Dhahabu mshenzi.
Kuna Viwanda Dar na Arusha wananunua, ila kwa kiwango kikubwa.
 
Back
Top Bottom