Mtaalamu wa kukopa

Mtaalamu wa kukopa

tutaweza

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
634
Reaction score
457
Jamaa mmoja alienda kumkopa rafiki yake na mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo

MKOPAJI: Oya mwana naomba unikopeshe elfu kumi (10,000)

MKOPWAJI: Dah! Sina mwana, nina elfu tano (5,000) tu

MKOPAJI: Aaah! Basi nipe hiyo hiyo elfu tano halafu nitakudai elfu tano.
 
hii nayo kali, mara nyingine unakuta mtu anakwambia nikope hela nitakulipa baada ya siku mbili, unamwambia ngoja nicheki labda kesho nitakuwa fresh, basi huyo jamaa atafuatilia mpaka hata wiki anasahau kwamba alisema baada ya siku mbili angekuwa poa lol
 
Du huyo nae kiboko badala ya kudaiwa anataka aendelee kudai?
 
Hahaa..hii siyo joke imenitokea kikweli, lyk it
 
Back
Top Bottom