Mtaalamu wa fizikia na hisabati

Mtaalamu wa fizikia na hisabati

motivater

Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
67
Reaction score
14
Natafuta kazi ya ualimu kwa masomo ya hisabati na fizikia kwa vidato vyote. Nina uzoefu wa kutosha na ufaulu wangu katika masomo hayo ni mzuri sana kwahiyo sibahatishi. Wanafunzi wangu hufaulu kwa asilimia 90.
MAWASILIANO: 0679275829
 
mwalimu kasikia naleta tranta kakimbia kuanzisha maada ya diploma application.hahaha
 
Tranter kakimbia Asa uko roga mancester fizikia c angepotea mpaka kwao?
 
Tatizo sio vyeti tatizo ni je unatumia njia zipi za kumfanya mwanafunz apende kusoma fizikis na hisabati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom