Mtaalamu wa database huyu hapa

Kwa wale waliotoa contact tutawasiliana...Ahsanteni
 

Kiukweli kama anaweza database na anapenda ku deal na database basi mshauri ajitahidi asome na computer programming pia. Maana kwa sifa hizo ulizoorodhesha hapo, sidhani kama zinatosha kwa yeye kudesign na kudevelop database system ambayo itaendana na matakwa ya kisasa.......

Huu ni ushauri wangu tu, because I'm the expert on that area.......
 
;

ushauri mzuri, thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…