Wanajf kuna rafiki yangu anatafuta nafac ya kutengeneza database kwa makampuni yoyote, na pia yupo vizuri sana kwenye;
1.microsoft word
2.microsoft excel
3.microsoft powerpoint
4.microsoft access (database)
5.internet
Anapatikana Dar es salaam.
Pia hata kufundisha yupo tayari.
Much thanks.
I'm sechonge mussa H . I have graduated diploma in information technology at the institute of accountancy arusha in recent year 2014 well in preparing database and webdesign, using of dreamweaver,java script and Php my phone no 0769834469
Email sechongemussa@gmail.com thanks
Wanajf kuna rafiki yangu anatafuta nafac ya kutengeneza database kwa makampuni yoyote, na pia yupo vizuri sana kwenye;
1.microsoft word
2.microsoft excel
3.microsoft powerpoint
4.microsoft access (database)
5.internet
Anapatikana Dar es salaam.
Pia hata kufundisha yupo tayari.
Much thanks.
1.Well in high cable running
2.wireless connection
3.LAN
4.customer support
5.customer care
Kampuni gani itakubali mtu awatengenezee Database zenye lugha kama hizo?mwambie akajipange upya aje na language ambazo zinaeleweka anaweza akapata dili.
Ukiachilia mbali ms access db ambayo imepitwa na wakati ni db gani ambayo language yake unaimaster uzuri???
Kampuni gani itakubali mtu awatengenezee Database zenye lugha kama hizo?mwambie akajipange upya aje na language ambazo zinaeleweka anaweza akapata dili.
Zote mkuu nipo safi.
nipe dili 2.
pa1.
sasa ndugu yangu kama unaweza oracle mbna hujamenthion katika uzi wako? Umeishia kusema ms word,