mtaalam wamaji.

allina

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
76
Reaction score
13
naombeni kusaidiwa kugundua sehemu ambayo naweza kupata maji kwenye kisima cha kina kifupi..pia najuaje sehemu hiyo hapana maji ya chumvi..pia je maji ya chini yanafaa kwakilimo cha umwagiliaji?hususani mbogamboga..Nipo wilaya ya Mbarali mbeya..nikame kitabia
Nihayo tu..nashukuruni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…