VLC ukisha drag kwenye applications folder inaanza ku copy
Kama iko silent angalia sehemu ya applications uone kama imeongezeka au njia mbadala right click Video yoyote then chagua Open with utaiona kwenye List.
Alternativel,
Kuna Quick Time Player nafikiri ndo inakuja default
Kuna GOM Player pia kwenye link nilokupa sehemu ya Video players utazikuta