Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Natafuta kazi ya Graphics Design,ni mzoefu sana kwenye shughuli hii,nimefanya kazi nyingi za Graphics kama kudesign artworks kwa ajili ya mabango(Billboards),CD/DVD covers,Logos,etc hivyo nna uzoefu wa kutosha.Kwa yeyote mwenye interest ya kufanya kazi na mimi anitafute kwa hii namba 0717995793.Pia ukihitaji kuona baadhi ya Artworks nilizowahi kufanya ntakutumia
Nime'bookmark hii thread, nitakutafuta in 2 wiks!
nmekubal mkuu...gud n jtahid
uko vizuri mkuu kila la heri
Mkuu, jaribu na hii:
Jitolee kuwaandikia baadhi ya makampuni au wasanii Logo zao, kisha unawatumia free kwa Email au katika Page zao Social Networks. Nakuambia watakufikiria cku moja.
Nishawahi fanya kitu dizaini ya hii Vodacom, walinitafuta wao ingawa mimi nilikua nafanya kwa starehe zangu tu. Ingawa mwisho wa siku walinidhurumu.
Uko vizuri sana mkuu.One day YES,Usikate tamaa,