Mtaalam wa graphics design anahitajika.

Mtaalam wa graphics design anahitajika.

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
61,429
Reaction score
108,577
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa kuwa hapa JF hatujapungukiwa na kitu katika idara zote, nimeona hili nimalizane nalo hapa hapa.

Nahitaji member mwenzetu hapa ambaye yuko vizuri kwenye graphics design ili aweze kunifanyia design ya company logo, letter head na business card.

Pia nakaribisha mawazo na ushauri mbalimbali kuhusiana na hilo.currently nipo Dar.
 
Hello! Here I am! Tuwasiliane through jumbenylon@gmail.com au Mob: 0714021078 looking forward to hear from you. Asante
 
Mkuu kama una link yenye sample kama alivyofanya Kiresua nishushie hapa ni very useful hata kwa wengine wenye huitaji kama wangu.
Asante.
 
Matola, if you are serious (i mean you really understand that branding will cost you a few dollars) then check this out Home | Ianiverse Designs, otherwise go with a cheaper option.
 
Last edited by a moderator:

. Mkuu sina online platform ya kuweka art zangu! But I'm working on it! Please provide me with your email nikutumie samples
 
Matola, if you are serious (i mean you really understand that branding will cost you a few dollars) then check this out Home | Ianiverse Designs, otherwise go with a cheaper option.
Am serious mkuu zech nimeingia nimeona na am interested too, hebu nipm some info ambazo sijazipata kwenye web.bila kusahau costs.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom