Kwa namna nilivyoangalia biogas plants mbalimbali humo youtube nina ujasiri wa kuweza ku-design na kutengeneza biogas plant bora kabisa.
Tatizo litabaki kwenye kupata vifaa hivyo vitakavyotumia nishati hiyo ya gesi (jiko, friji, jokofu, taa, generator, pump n.k).