startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,756
- 1,955
Ile Chand ya India imeandikwa class twelve vipi wanasoma wakiwa darasa la ngapi?Wanasoma kama masomo sio combination yakiwemo mengine ila syllabus yao akikaa na mtoto wa PCB wa Tanzania ngoma draw
Primary wao fizikia,kemia na biologia ni masomo yanafundishwa shule ya msingi
Sasa hii ni English medium ama huku tawala za mikoa?
🔨🔨🔨Ile Chand ya India imeandikwa class twelve vipi wanasoma wakiwa darasa la ngapi?
Tusi la nini, kwani wewe ushafika India na kukagua mitaala ya Primary schools?punguza uongo mbwa ww
Nadhani tatizo lipo kwa walimu namna ya kufundisha mtoto wa miaka 8 ama 9 kitu kama single cell, amoeba, plasmodium nk nk ni kitu gani mtoto akielewe kiundani kwa lugha yoyote yahitaji ujuzi mkubwa wa ufundishaji.Sasa hii ni English medium ama huku tawala za mikoa?
Ila kwa hizi shule za tawala za mikoa nakumbuka kipindi hicho katibu mkuu NECTA alikuwa Prof Ndalichako haya mambo tulianza kusoma darasa la 5 na nilikuwa sielew chochote japo lugha iliyotumika ni kiswahili na nilipofika form 1 lugha tu ndio iliyobadilikana kuwa kiingereza Cha ajabu niliyaelewa vyema nahisi kwakuwa akili ilikuwa ishaanza kupevuka.
Hawa Hawa ndio waliotaka kufanya physics na chemistry kuwa somo moja.Tuwachie na tuwamini wataalamu wa elimu wao wamefanya utafiti na wameona ni muhimu kwa mitaala kubadilika, jitihada ziende kwa walimu wapewe semina jinsi ya kufundisha huu mtaala mpya.
Ni hao hao hao walibadilisha hiloHawa Hawa ndio waliotaka kufanya physics na chemistry kuwa somo moja.
Na wanaburuzwq kwelikweli. Wakwangu anasoma.darasa la 3 ,masomo yao hayaendani na umri. Walimu wenyewe wanalalamika.Nadhani tatizo lipo kwa walimu namna ya kufundisha mtoto wa miaka 8 ama 9 kitu kama single cell, amoeba, plasmodium nk nk ni kitu gani mtoto akielewe kiundani kwa lugha yoyote yahitaji ujuzi mkubwa wa ufundishaji.
Vinginevyo ni kuburuza tu kucover syllabas lakini watoto wanaburuzwa na kuachwa weupe.