This one hapenned for real..
Juzi Ijumaa usiku tupo mtaa wa saba tunapata vya kupooza akili..mara wakapiga lile lisongi la "Wanaume tumeumbwa, mateso, mateso, kuhangaika.."
Mara akatokea shoga akasimama akasema: (kwa sauti ya kishoga) "Aku, mi sipo huko. Mi nlijua ndo maana nkatoka huko siku nyingi!"
Aah..bwana watu tuliishiwa nguvu kwa kucheka...