KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,075
MTAA UNATAKA NINI....
Kila kijana ana ndoto za kupata pesa aijalishi atafanya kazi gani ila lengo ni pesa..watoto wameacha shule wakidai wanapoteza tu mda wao kusaka elimu ikiwa lengo la elimu ukimaliza ni kutafuta pesa..
Leo kila mtoto yupo mbio kukimbilia ndoto zake za kupata pesa ya haraka..kila mtoto sasa hivi anaokota chupa anatia kwenye viroba ili akapime apate pesa je hiyo pesa anaifanyia nini ni starehe tu za kuvuta sigara na vitu vingi ambavyo havina ulazima kwa wakati wao..
Kila mzazi analalamika hiki kizazi kimepotea Enzi zetu kulikuwa na mabroo ambao walikuwa na sifa za kusambaza rungu kwa kila pisi mpya anayeingia mtaani...Leo kila kijana ni 45 na 32 inashangaza kama ni zama basi hizi zama kwa vijana ni mbaya...
Kwa mabinti ndo usiseme kila msichana sasa anaamini kuwa na mwanaume ndo pesa...Ukiwa na pesa kila msichana unaweza kulala nae
Wasichchokijua ni bora wapate mimba kuliko kubeba mikosi ambayo itakuwa itawatesa maisha yao yote...
Ni kweli tunahitaji pesa ila kupata pesa bila kuwa na akili ya akili ya pesa ni sawa na maji kwenye chujio yataishia kumwagika tu chini..
Nashusha Kalamu sasa wanangu...
Harakati za mtu mweusi
Mabegi bila nauli
Isanga family