Mtaa MZIMA Wamagufulika

"Sina Msamiati wa kushindwa" sasa anasema akishindwa atakuwa Mfugaji Monduli. Hana time na ukawa akishashindwa ndo mtajua madhara ya kuzika hoja ya ufisadi ambayo ndo ccm inatamba nayo mpaka kwny mabango.
teh teh teh.... mwaka huu hata bubu anasema

kokh... kohh
 
kuna watu ni mapimbi kweli utakuta hakuna maji shule hazina madawati na vitabu, hawana hata zahanati ya kijiji... halafu eti push ups..

Au ndo zitakazo leta maendeleo?

kwahio wasipopiga push up maendeleo yatakuja??
 

Hakuna namna mtakubali
 

Hizo pesa nyingi umezitoa wewe au baba yako Lowassa? Hizo pesa mnazotumia kutaka kusafirisha wanavyuo zenyewe siyo pesa? kwa hakika tumewagundua na hamtushindi ng'oooo Ingieni barabarani muone na viroba vyenu.
 
Hakuna Jamii au Taifa lolote Duniani limewahi kuleta Mabadiliko kwa kuzungusha Mikono-Magufuli
Kweli kabisa, maendeleo yanakuja kwa kuzungusha bakuli tu.

OMBA OMBA ALIKEKALIA KITI CHA DHAHABU KILICHOJAA MATOPE, YEYE ANAFIKIRI NI MBAO CHAKAVU, ANAENDELEA KUOMBA TU, WENYE NACHO WANAMKOPESHA KWA MASHARITI KUWA ASIOSHE HICHO KITI, USIKU AKILALA WANAPITA WANAMEGUA DHAHABU KIDOGO, MAISHA YANAENDELEA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…