Mtaa MZIMA Wamagufulika

Duh basi hii ingekuwa kwa fisadi lowasa, yaani tusingekunywa maji. Kura yangu kwa Dr Magufuli[e/QUOTE]sijawahi kuona ujinga kama huu. Ina maana pushup za Magufuli ndio maendeleo?
 
kuna watu ni mapimbi kweli utakuta hakuna maji shule hazina madawati na vitabu, hawana hata zahanati ya kijiji... halafu eti push ups..

Au ndo zitakazo leta maendeleo?

Ni kweli hawa ni sawa na wale wanaopiga deki barabara kwa ajili ya lowasa..ila afadhli hawa wa push up wanajenga afya
 
ni wa kuhurumia tu

baada ya jumapili watarejea kwenye shida zao na mwisho wa siku wanapitisha bakuli kuomba pesa ya matibabu na ada za shule

watu kama hao ni kuwatosa tu

hawajui watendalo

Hata upande unaoutaka wewe ukipita mwisho wa siku utapitisha bakuli hvyo hvyo.mtu yuko busy kuitaka ikulu ili arudishe pesa zake na kuwakomesha watu walomkata kwa utovu wa nidhamu,hata yeye akipenya utarudi kulalamika tu.upinzani wa kweli hapa TZ bado haujapata watu wenye nia ya dhati,so we waache wasonge mbele,nyakati ndo zitaongea mbele ya vizazi vijavyo siyo sasa
 
Kwa hiyo kama wamemagufulika si tufanyaje? Au tumuite nyoso aje kuwanyosoa
 
Magufuli ni wakuongozwa sio wakuongoza na Kama Mnabisha akishinda mtaona watanzania msioelewa mnakuja kuwa washabiki halafu walio wengi wanateseka kwa masilahi yenu
 

Kila siku polisi wanatuambi kuhusu urinzi shirikishi watu wanataka kuwasaidia kurinda wao hawataki wana rengo gani kama sio wizi????
 
Yaani unapiga pushup kwenye vumbi road? Ujinga kabisa
 

Haya, Wakati unalinda SUNGUSUNGU polisi hawakuwa wanalipwa? Au ulikuwa huwaamini?

Ndio maana nakuita mtoto.
 
Wakina mama wajawazito nao wanagufulika chini mahospitali kwa kuwa hakuna vitanda!

Wakuu,

Hii ndiyo sababu natamani Taifa lingepata viongozi 'Tingatinga' kuanzia ngazi ya Taifa, Mkoa, Wilaya, kata, kijiji hadi mtaa kugeuza yote haya na kuondokana na unafiki. Can you imagine-bajeti ya shangingi moja tu inaweza kurekebisha hali kwenye wodi hii. Kwa hivyo tatizo siyo bajeti-ni ufisadi-hata ndani ya sekta nyeti kama hii, usimamizi duni na hata resource allocation. Unakuta vipaumbele vya watawala, wakurugenzi, mameneja na wakuu wa idara zetu vipo up side down. Hapa inahitaji kiongozi mkuu na timu yake kujikana na ku-overhaul legacy ambayo watawala na wasimamizi wa leo wanaacha nyuma. INAHITAJI TINGATINGA NYINGI KATIKA SEKTA NA IDARA ZOTE ZA SERIKALI SIYO MOJA.
 
Kila siku polisi wanatuambi kuhusu urinzi shirikishi watu wanataka kuwasaidia kurinda wao hawataki wana rengo gani kama sio wizi????

kwa nini katika kipindi hiki wanatugeuka?
 

Attachments

  • 1445491586978.jpg
    17.8 KB · Views: 158
Acha udhalilishaji wewe kuwarusha mama zetu wakiwa uchi, unaelewa maana ya labour wewe? usitafute laana bure kwa kutafuta sifa za kijinga.
Wajinga wa kwenu wote, unajua uchi wewe pimbi? mimi nilieweka picha ndo nimewazalilisha au ni serikali yao iloshindwa kuwapa huduma? Kama laana ya kwanza kupewa ni CCM na serikali yake. Inayotafuta sifa za kijinga ni CCM inayotoa ahadi za ili ichaguliwe wakati bado imeshindwa kuhudumia wananchi wake wkati ingali madarakani. simbilisi wee.
 
Haya, Wakati unalinda SUNGUSUNGU polisi hawakuwa wanalipwa? Au ulikuwa huwaamini?

Ndio maana nakuita mtoto.

Pale kulikuwa na wimbi la ujambazi na polisi walikuwa hawatoshi na mpaka sasa kuna polisi jamii waliodhinishwa na mamlaka halali na wewe huna ridhaa ya kulinda kura uliyopewa na mamlaka halali na kwakuwa hujarusiwa usijaribu na ukijaribu shauri yako mimi simo kalinde tu ndugu yangu isiwe shida baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…