Msuto wa Snowhite na FP

He he he, nilikuwa na buzi la kikaburu

Enzi hizo unakunywa Rubisi mie nakunywa Milkshake na wine cocktails tu

si mpaka!
bishanga nimezaliwa kenyatta hospital bana,wewe je?
 
Hata wewe umo kwenye msuto

Naoja ushahamia timu ya snowhite
Ntakuvuta hizo nywele hadi basi

weeee umesahau kwamba mm siwezekani??

BTW hivi zombie bado anaendelea kukuganda ama umemchunia? ........ni ngumu sana kumtoa mtu aliyejipanda moyoni mwako umeona enh!
 
aseeeeee!!! nimekuweje ?? ishu nyingi zinanipita lol,ila mamito snowhite usijali nafanya mishe ya sare zetu maids....nahitaji na maombi yako na wanaMM na CC wote kwani sijielewielewi in ths 2 weeks naona ka siye Ciello vile............
 
Last edited by a moderator:
snowhite mie nishapata ukumbi pale Giraffe Hotel.
 
Last edited by a moderator:
Nimemchunia na sms zake sijibu

Ila mmh, bora kuwa celibate kwa muda, ngoma nzito :behindsofa:

weeee umesahau kwamba mm siwezekani??

BTW hivi zombie bado anaendelea kukuganda ama umemchunia? ........ni ngumu sana kumtoa mtu aliyejipanda moyoni mwako umeona enh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…