Kutokana na hasira nilizonazo, naomba Zinduna uandae msuto wa snowhite na FP pale Wantashi-Masaki
Dress code: Smart Casual
Vinywaji: Red Wine, White and Green Wine, Whisky, no biere
Music: Carrebean Regae, Argentinian Tango, RHumba, bluzi
DJ: Bishanga
Kisa: Kumpigia Debe Zombie wa Konnie baada ya konnie kuamua kuwa celibate kwa miaka 5
Source Mimi Mwenyewe niliyeumizwa na mameno yao kwenye us=zi wangu wa Cleibacy kule MMU.
Nawakilisha. . ..
uskute unatuita tuanze pre wedding preparations!Kutokana na hasira nilizonazo, naomba Zinduna uandae msuto wa snowhite na FP pale Wantashi-Masaki
Dress code: Smart Casual
Vinywaji: Red Wine, White and Green Wine, Whisky, no biere
Music: Carrebean Regae, Argentinian Tango, RHumba, bluzi
DJ: Bishanga
Kisa: Kumpigia Debe Zombie wa Konnie baada ya konnie kuamua kuwa celibate kwa miaka 5
Source Mimi Mwenyewe niliyeumizwa na mameno yao kwenye us=zi wangu wa Cleibacy kule MMU.
Nawakilisha. . ..
na wee unaunga mkono hoja,utasutwa wewe ujue.
u celibacy ni pamoja na kutowasuta wenzio.
halafu we unanzarau,mzee wa citibank unasema mi dijei? arrroooo ntake razi kabla sijakukata kiharage chako,ujue ex wangu Mamndenyi ni ngariba.
Leo lazima niwasute hawa watu kwa kizungu
na wee unaunga mkono hoja,utasutwa wewe ujue.
uskute unatuita tuanze pre wedding preparations!
dada mkubwa ukuje na pendekezo la rangi kabisa! gfsonwin wee upitie pale glambox ukiwa na cacico mje na profile yao ili tuchague kabisa mwali wetu atakuwaje! Ciello we utapitia kwenye maweb uangalie nyie mamaids mtavaa nguo gani watu8 kazi ya suti kwa wapambe wa zombie inakuhusu sana mwaJ na BADILI TABIA mfuatilie ukumbi wa bridal shower sawa? King'asti we eneo lako unalijua mwali,bi harusi atafutiwe nywele nzuuri kwa ajili yake@
zinduna we kazi yako kuagiza kungwi toka ngazija na mwingine komoro
jamani nyie niliowataja mhakikishe mkija hapo masaki kwenye huo msuto anaoandaa Zinduna mje na ripoti kamili ya majukumu yenu!
Leo lazima niwasute hawa watu kwa kizungu
Leo lazima niwasute hawa watu kwa kizungu
Ha ha ha ha, umempatia kweli mamndenyi kwa kazi ya ungariba, tena anakata kwa kucha la dole gumba lake
Limekomaa kama nini
Najua wewe ni Mzee wa Citibank ndio maana niweka hafla hii Masaki kwa wajanja
Angekuwa Asprin ningeweka Tandale
ha ha ha ha, umempatia kweli mamndenyi kwa kazi ya ungariba, tena anakata kwa kucha la dole gumba lake
limekomaa kama nini
najua wewe ni mzee wa citibank ndio maana niweka hafla hii masaki kwa wajanja
angekuwa asprin ningeweka tandale
mwanamke kusutwa sunna babu lolest!!!!!!!!!!!
Nitahakikisha siku ya msuto lazima unyolewe vyu.z kwa jivu wewe
Ndo saizi yako, umezidi umbea wa Zombie
ATTENTION!!!!!!!!!! Kongosho is :confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:.....................hajui achague lipi kati a celibacy, zombie, msuto na maandilizi ya harusi.
PLEASE ASSIST HER ON THIS...........