Mi nashindwa kuelewa.
Yule ni mwanamke mwenzio.
Umechukua hatua gani za kumuelimisha kuhusu usafi wake wa ndani badala ya kuja kumuanika humu.
Mimi nina dada yangu, hatoi harufu but hana uwezo wa kusikia harufu.
So am imagining labda hajijui kama ana harufu na ungeweza kumsaidia.
Afadhali ungeuliza namna ya kumueleza kuhusu hali hiyo kuliko kuja kumsema in such a way that disgusts people and does not help things.
Women please!
mkuhu siho vizuri
hungemuhambiha sasa hunakuja kumsema humu hungemuhambiha siho vizuri
kabisa mkuhu.
Mi nashindwa kuelewa.
Yule ni mwanamke mwenzio.
Umechukua hatua gani za kumuelimisha kuhusu usafi wake wa ndani badala ya kuja kumuanika humu.
Mimi nina dada yangu, hatoi harufu but hana uwezo wa kusikia harufu.
So am imagining labda hajijui kama ana harufu na ungeweza kumsaidia.
Afadhali ungeuliza namna ya kumueleza kuhusu hali hiyo kuliko kuja kumsema in such a way that disgusts people and does not help things.
Women please!
nimesoma mkuu ila sio kija mwana mke anakubali kosa akiambiwa.tena yule ni mke wa m2 inamana had saa6 ile hajui wajibu wake mwanamke staha ya usafi bwana
Umwambie? Utajikuta umesukwa kama godzilla.Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro.
Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani nilitamani nimwambie dada kabadilishe ila ilinibidi pia niwemvumilivu.
Maana nautaka urembo.
Samahani, utoko ni nini
m2 mwenyewe mzaramo nimwambie anisute na kigoma
mkuhu siho vizuri hungemuhambiha sasa hunakuja kumsema humu hungemuhambiha siho vizuri kabisa mkuhu.
ushauri mzuri lakini hiyo kiswahi ni ya wapi?
we Bulldog unataka kujua kuhusu utoko asubuhi ukimaka na mkeo/mpenzio kabla hajaenda kuoga au kunawa tia kidole kwenye papuch yake kile utakacho toka nacho huko ndo utoko
okey ila inanipa mda kumwelewaLabda nu mutu ya bakongo!!
Umewahi kukutana na msusi anae nuka chupi hasa katika zile staili zetu za kilimanjaro.
Hii imenitokea live mida nikiwa kwa msusi nyumbani kwake tena mchana alikua ananisuka stail fulani jamani nilitamani nimwambie dada kabadilishe ila ilinibidi pia niwemvumilivu.
Maana nautaka urembo.