maatope JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 1,422 Reaction score 957 Oct 16, 2015 #1 😎:A S shade::wink::high5: AsanteMungu bado masaa machache hii Nchi Ipate Uhuru kamili baada ya manyanyaso ya FISIEM FREEDOM IS COMING TOMMOROW Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
😎:A S shade::wink::high5: AsanteMungu bado masaa machache hii Nchi Ipate Uhuru kamili baada ya manyanyaso ya FISIEM FREEDOM IS COMING TOMMOROW
U uclan Member Joined Jul 31, 2015 Posts 42 Reaction score 6 Oct 16, 2015 #2 Malofa are conveying their message. Mind you, this is the only platform that they have. This is the only opportunity for them to exploit as kura rigings is likely in the forthcoming election.
Malofa are conveying their message. Mind you, this is the only platform that they have. This is the only opportunity for them to exploit as kura rigings is likely in the forthcoming election.
amilyroley JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 621 Reaction score 1,200 Oct 16, 2015 #3 Duuuuuuhhhh aibuuuu
SUPER PREDATOR JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 2,093 Reaction score 725 Oct 16, 2015 #4 Aisee aibu kubwa
Cham Bee JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 3,516 Reaction score 1,856 Oct 16, 2015 #5 Alivyorudi tunduni mithili ya panya.
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,436 Oct 16, 2015 #6 kaona raia hawamwelewi iabidi kurudi ndani
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Oct 16, 2015 #7 maatope said: 😎:A S shade::wink::high5: AsanteMungu bado masaa machache hii Nchi Ipate Uhuru kamili baada ya manyanyaso ya FISIEM FREEDOM IS COMING TOMMOROW Click to expand... Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
maatope said: 😎:A S shade::wink::high5: AsanteMungu bado masaa machache hii Nchi Ipate Uhuru kamili baada ya manyanyaso ya FISIEM FREEDOM IS COMING TOMMOROW Click to expand... Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu
Mnama JF-Expert Member Joined Oct 13, 2010 Posts 3,241 Reaction score 3,198 Oct 16, 2015 #8 Ha haaaa kazi ipoo.....
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,180 Reaction score 24,798 Oct 16, 2015 #9 Kaipata, ndo akome!!!
Entim JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 4,024 Reaction score 2,271 Oct 16, 2015 #10 maatope said: 😎:A S shade::wink::high5: AsanteMungu bado masaa machache hii Nchi Ipate Uhuru kamili baada ya manyanyaso ya FISIEM FREEDOM IS COMING TOMMOROW Click to expand... Mmmhhh......pole musukuma. Sasa mbona amezama ghafla badala ya kukabiliana nao??? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
maatope said: 😎:A S shade::wink::high5: AsanteMungu bado masaa machache hii Nchi Ipate Uhuru kamili baada ya manyanyaso ya FISIEM FREEDOM IS COMING TOMMOROW Click to expand... Mmmhhh......pole musukuma. Sasa mbona amezama ghafla badala ya kukabiliana nao???
A analaizi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2014 Posts 1,351 Reaction score 186 Oct 16, 2015 #11 UKAWA wahuni tu.Eti hawa ndio walinde kura.
maatope JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 1,422 Reaction score 957 Oct 16, 2015 Thread starter #12 bornagain said: Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu Click to expand... Utashangaa sana maisha yatapokuwa nafuu pale mafisiem yasiyotaka kufanya kazi kwa manufaa ya wanyonge yatakapokuwa out FREEDOM is COMING tommorow:A S shade:
bornagain said: Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu Click to expand... Utashangaa sana maisha yatapokuwa nafuu pale mafisiem yasiyotaka kufanya kazi kwa manufaa ya wanyonge yatakapokuwa out FREEDOM is COMING tommorow:A S shade:
M Manosa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 4,510 Reaction score 3,594 Oct 16, 2015 #13 Panya buku!!!!
okyo JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,003 Reaction score 1,508 Oct 16, 2015 #14 bornagain said: Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu Click to expand... Ni bora yawe magumu maradufu kuliko huu upumbavu mnalifanyia taifa hili
bornagain said: Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu Click to expand... Ni bora yawe magumu maradufu kuliko huu upumbavu mnalifanyia taifa hili
okyo JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,003 Reaction score 1,508 Oct 16, 2015 #15 Huyu mbwa ile siku anamdhalilisha lowasa alisikia raha leo yamemkutaa kawa mpole kenge huyu
yomboo JF-Expert Member Joined May 9, 2015 Posts 6,225 Reaction score 4,905 Oct 16, 2015 #16 bornagain said: Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu Click to expand... We mzaliwa upya Mimi raha yangu kuona viongozi wenu wanapata shida iyo inatosha
bornagain said: Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu Click to expand... We mzaliwa upya Mimi raha yangu kuona viongozi wenu wanapata shida iyo inatosha
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Oct 16, 2015 #17 Ha ha ha alivorudi fasta kama panya anarudi shimoni, ni wapi hapo?
Borakufa JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 1,503 Reaction score 390 Oct 16, 2015 #18 Kama EL alijinyea yeye ameingiziwa
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Oct 16, 2015 #19 yomboo said: We mzaliwa upya Mimi raha yangu kuona viongozi wenu wanapata shida iyo inatosha Click to expand... Hahahaha eti mzaliwa upya
yomboo said: We mzaliwa upya Mimi raha yangu kuona viongozi wenu wanapata shida iyo inatosha Click to expand... Hahahaha eti mzaliwa upya
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,625 Reaction score 1,780 Oct 16, 2015 #20 bornagain said: Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu Click to expand... Bora maisha magumu ndani ya Ukawa kuliko ndani ya Ccm.
bornagain said: Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu Click to expand... Bora maisha magumu ndani ya Ukawa kuliko ndani ya Ccm.