Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,097
- 2,294
Kufikiri, hadi leo siamini kabsa kuwa Neno Mungu ni kitu ambacho kipo,
naelewa na kuamini kwamba hakuna kitu au kiumbe chochote kinachoenekana au kisichoenekana kinachoitwa Mungu.
Hili neno lipo tu kwa ajiri la kufalijiana kwa watu walio fika kikomo cha fikra zao na pengine lipo kwaajili ya kuwahadaa na kuwafariji watu walioko kwenye matatizo ya kidunia.
Kanisani naenda kwa lengo la kujumuika na watu tu, pengine kukaa karibu na watu ili jamii isinione wa tofauti sana na tamaduni zao.
Nimekuwa mchawi kwa kipindi kirefu sasa nememiliki misukule 16 wanaonisaidia kazi zangu. Lakini katika uchawi wangu huo hadi sasa hivi sijawahi kupokonywa musukule hata mmoja na watu wanaojiita manabii.
Jambo ambalo limenifanya niaazishe thread hii ni vipidi mbalimbali vya vyombo vya habari. Kuna watu wanajitangaza kuwa wao wanauwezo wakurundisha watu waliokufa nakuwafufua eti wanatumia neno la Mungu!
Kwa kuwa JF ina watumiaji wengi naomba kama kuna mtu amewahi kurudishwa au ndugu yake atueleze bayana bila kificho, maana mimi siamiani kama kuna kitu kama hicho chini ya jua.