Eid Eid, yasheherekewa
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob jana aliwazawadia makundi tofauti zawadi za Mbuzi wa. 1 Ilienda kwa viongozi wa Serikali wa Kata ya Ubungo.(mbuzi wa madoa meusi na meupe) 2. Mbuzi mweupe (Viongozi wa Kata ya Ubungo) na wa mwisho mbuzi wa madoa meusi na brown aliwapa viongozi wa Wilaya ya Ubungo. Zoezi hilo lilifanyika wakati akifuturisha wananchi wa Kata yake na Kinondoni kwa jumla