Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mh Kalist Lazaro Bukhay,Diwani Kata ya Olasiti Mh Alex Marti,Madiwani Jiji la Arusha pamoja na viongozi mbalimbali wataungana kwenye Ibada maalum ya Shukrani na Maombezi kwa ajili ya ajali mbaya iliyotokea Karatu na kusababisha vifo vya Wanafunzi 32,Walimu 2 na Dereva 1 na majeruhi 3 wa Shule ya Lucky Vicent iliyopo katika Kata ya Olasity.
Ibada hiyo itafanyika siku ya Jumapili tarehe 21-05-2017 kuanzia saa 12:15 asubuhi ktk Kanisa la KKKT Olasiti Arusha.
Imetolewa na;
OFISI YA MSTAHIKI MEYA,
HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA,
S.L.P 3013,
ARUSHA-TANZANIA.
Ibada hiyo itafanyika siku ya Jumapili tarehe 21-05-2017 kuanzia saa 12:15 asubuhi ktk Kanisa la KKKT Olasiti Arusha.
Imetolewa na;
OFISI YA MSTAHIKI MEYA,
HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA,
S.L.P 3013,
ARUSHA-TANZANIA.