Mstahiki Meya Unamkamata 48hrs, Kisha Unamuachia Bila Kusema Neno. Ni sawa?

Those are victims of inadequate political education esp on multiparty system
 
Tunao mpango wa kumfikisha mahakamani kesho asubuhi Mungu akipenda .
 
Chadema mnakosa plan B kudeal na hao matahira
sasa nyie ACT WASALITI kamalizaneni na mama yenu kilimanjaro
 
Serikali ina waandaa wapinzani kubadiri aina ya siasa. Siasa za kipindi cha Jk zifikie mwisho . Pls viongoz badiri mbinu hawa ccm sio wa kucheka nao, wakikukimbiza hatua 10 wapeleke hatua 1000! Nachoka na matamko
 
Sasa kuheshimiana inatakiwa iwe lazima. Nashangaa ni juzi tuu Waziri Simbachawene bungeni law at a had garish a ma RC na ma DC juu ya matumizi ya sheria hii na kuwa wanaweza kujikuta wanabeba msalaba wao wenyewe na sii serikali lakini Huyu kapuuzia.
Inapaswa na serikali nayo iliyomuajiri imshughulikie kwa kutengeneza chuki ya RAIA dhidi yake
 
Siasa safi sasa imewekwa kwando na watu fulani baada ya wao kushindwa kumudu siasa za ushindani na matokeo yake wameamua kuendesha siasa za hovyo zisizo za kistaarabu na kutafanya wote tuonekana mbele ya walimwengu kama watu ambao hatujastaarabikia na hatupaswi kuishi katika huu ulimwengu wa watu waliostarabikia.

Civilization imetushinda kabisa and worse enough hivi sasa mpaka kwenye misiba!!

Matendo yanayoendelea hapa nchini yana-fit kabisa definition ya barbaric acts.

In short,this is total barbarisim!

Uchumi umetushinda na sasa hata political civilization nayo inatushinda!!!
 
kweli mkuu.....lakini ilimradi tu usiingie msituni!
 
Swala tumtoe mbowe lisu au hache au waitara au sugu au lema wapewe chama ili nasisi tuingie mtaani heshima iwepo kwa ma ccm naona mbowe kalala sana


Swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…