Msongo wa mawazo unataka kunimaliza

Msongo wa mawazo unataka kunimaliza

Vamigo

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
415
Reaction score
851
“Wakati mwingine unafika sehemu maisha yanakuonesha sura yake halisi. Nimekuwa nikipambana kuinusuru biashara yangu bila mafanikio, rasmi nimefilisika Sina Msaada Kwa mtu yoyote, hakuna mtu mbele yangu ambae namtumainia kama Msaada Kwa kipindi hiki.

Nina familia ya mtoto mke na mtoto mmoja bahati nzuri tu unga WA kula siku kadhaa upo ndani. Napitia msongo WA mawazo usio elezeka.

Kama kuna mtu yeyote anaweza kusaidia kwa njia yoyote, nipo tayari kushirikiana au hata kufanya kazi ya muda mfupi ili nipate hela ya kulipia Kodi ninapo ishi.

Naishi geita mjini mtaa wa shilabela
 
Bado tumaini lipo na usifikie hiyo hatua kwakuwa bado una mtaji wa afya njema.. Soma mabandiko ya waliowahi kuanguka na leo wamesimama imara sana.. Just know that HILI NALO LITAPITA
 
Mkuu nitagi kwenye hayo mabandiko
 
kwanza ipi sababu ya kufilisika?

Kodi
Matumizi
Tabia za ulevi
Biashara inapunguza mauzo?
 
Back
Top Bottom