Hellow dear.unajua nilipokuona kwa mara yakwanza nili vibrate kama nokia ya tochi.naomba unipe ushirikiano nataka ni install penzi langu ktk hard disk ya cpu yako.nimekuwa mvumilivu kwako kama ram ya 125 katika hard disk ya 500 GB ukiwa wangu nitakupamba kama blog yangu.sintokuwa mbari na wewe kama monitor na cpu nitakupenda kama download link za bure. Naomba ukubari maana ukinikataa nitakuchukia kama trojan,autorun, na virus wengine.
nakupenda kama apple!
Huyu Msomi lazima atakuwa MUHA ila siyo wa UJIJI, maana kajaza ma RI RI RI kibaooooo....
MbaRi......., UkubaRi, ............. ila Kiingereza ni RICHABO....