Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Msomaji habari,wa saa moja leo tarehe 5 june 2014 KITUO CHA TV,alikosea jina la mtaa wa TURDO(inatamkwa CHUDA),mtaa huu uko Mombasa ,Kenya,hili ni neno la Kijerumani,linatamkwa CHUDA,SIO turdo kama lilivyoandika.
Msomaji habari,wa saa moja leo tarehe 5 june 2014 KITUO CHA TV,alikosea jina la mtaa wa TURDOR(inatamkwa CHUDA),mtaa huu uko Mombasa ,Kenya,hili ni neno la Kijerumani,linatamkwa CHUDA,SIO turdor kama lilivyoandikwa.
Sule =shuleDeutsche Welle= Doche Velle
Volks Wagen= Voksi Vageni, hao ndo Wajerumani! Full lugha gongana!
Ni kweli kabisa,vyombo vya habari vinatakiwa viwe makini,katika kuwasilisha habari,kwenye matamshi ya majina ya watu,nchi,miji,vijiji,mitaa.Kama jina au neno hujui linatamkwa vipi,Kwa kweli hata ma'publishers' wetu wa magazeti,vitabu n.k wanachangia kuharibu ufasaha wa mawasiliano na maana kwa matamshi(kuongea),kusikiliza,kusoma na kuandika.