Msoma habari ITV leo

Msoma habari ITV leo

Mi nampenda sana Jacquiline Silemu.Anajitahidi sana.kusoma taarifa ni kazi jamani.
 
Wakati mwingine ni bahati mbaya maana kazi zingine kosa kidogo linaonekana ni tatizo tofauti kazi zetu wengine hata ukikosea bado linaweza kurekebishika bila kuleta athari kubwa kwa watu wengine mapema kabisa
 
ila anajitahidi kiasi chake lakini inavyoonesha hiyo sauti yake kuna MTU anaemcopy .
 
Mi nampenda sana huyu Jacqueline, sio napenda kumwona kwenye TV! Aaaah! Mi nampenda tu si unajua neema za mwenyezi Mungu sheikh!
 
Mi nampenda sana huyu Jacqueline, sio napenda kumwona kwenye TV! Aaaah! Mi nampenda tu si unajua neema za mwenyezi Mungu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom