jamani huyu msoma habari wa Leo ITV mbona ana pozi za ajabu hivi alafu anabetua midomo ata ivona kamuntu ana afadhali. yaani cjui anajaribu kuiga pozi la salim kikeke adi inakua too much .cjafanikiwa kulijua jina lake nikilijua ntawawekea mumjue
jana nlimla tigo...msishangae
Kituko ilikuwa ni star TV baada ya Ivona Kamuntu kubanwa na kikohozi akiwa live pamoja na kujaribu kukohoa kidogo ili aendelee bado sauti ilikataa ikabidi taarifa ihairishwe kwa muda ili akakohoe kwanza.