MSNBC wamlilia Keith olberman

MSNBC wamlilia Keith olberman

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,900
Msnbc chief ajutia kuondoka kwa Keith olberman.chris Hayes ,Ed Schultz ,joy reed ,alsharpton out .sources inside cable news and cnn
 
Natalia rafiki, hao wajomba kwa nini wameondoka?

Unajua kuna watu humu jamvini hawajui MSNBC! Tupia vinyama sababu za hao kuondoka!
 
Last edited by a moderator:

Walikuwa wanamshabikia obama na kuibadilisha hiyo station kuwa ni ya kuwachukia watu wasiompenda obama .Sasa well USA Ina watu 300 million watu 10,000 demo ndio wanaangalia per day sasa sponsor wanaenda Fox News na cnn.kwa hiyo boss wao kaamua msnbc kuwa wameamua kuacha kushabikia Chama cha obama kuwa more republican au in the middle .liberal agenda dont sell
 
Last edited by a moderator:
Best news analysts katika misingi ya kutenda haki sawa kwa wote. I love msnbc.
 
Now you will be watching Sarah PALIN ,Michelle Malkin wamekutwa wanakunywa chai na chief wa msnbc .Inabidi uhamie fox kwa sababu HLN aneuziwa Glenn beck so you know what's coming .
 
Walikuwa wanamshabikia obama na kuibadilisha hiyo station kuwa ni ya kuwachukia watu wasiompenda obama .Sasa well USA Ina watu 300 million watu 10,000 demo ndio wanaangalia per day sasa sponsor wanaenda Fox News na cnn.kwa hiyo boss wao kaamua msnbc kuwa wameamua kuacha kushabikia Chama cha obama kuwa more republican au in the middle .liberal agenda dont sell

Umenena vema! Wenzetu media zipo wazi kudeclare upande gani wanaside katika siasa.

Wapo mbele sana kidwmokrasia!
 
Fox News is the best !. It is my most favorite channel !

Back
Top Bottom