Izo sababu za kijinga kwani DNA maana yake nini kuna jamaa aliwai kufanya ivyo 20 yrs ago na sasa ni mzee hana hata wa dawa na yule alir mkataa ni photocopy yake mama wa mtt alimjibu tu kama umekataa huyu mtt wako mungu atakupa zaidi ya huyu tena wazuri ilikuwa ni laana kubwa mpaka leo namjua mpaka mkewe sio vizuru tu kuwaanika humu ndani.
Wacha kuendeleza ujinga kama huna imani na huyo dada kwa nini unafanya nar bila condom ulipokuwa unamkojolea ulijua unapanda mbegu gani.
Hii imemtokea mzee wangu pia sasa umri umeshaenda na hakufanikiwa kupata mtoto mwingine anatamani niwe upande wake ila nafsi imekataa kabisa.
Hii imemtokea mzee wangu pia sasa umri umeshaenda na hakufanikiwa kupata mtoto mwingine anatamani niwe upande wake ila nafsi imekataa kabisa.
Chondechonde, kwa wale wanaowakataa watoto wao wakiwa tumboni au baada ya kuzaliwa hasa wanaume. Jamani mnawapa shida watoto wenu.
Roho za kukataliwa zinawatesa sana. Hata ukijamkubali baadae kwamba ni mtoto wako, wewe mwenyewe(mzazi) utaona kama hakujali, hakuheshimu(mtoto) vile.
Kumbe sivyo ni ile roho inakutesa mzazi. Kwa hiyo kama uko responsible na ujauzito wewe kubali kulea kwani hukujua matokeo yake?
Usimkane mtoto hata kidogo ni mbaya sana.
Sio roho ya kukataliwa...
Ni kwamba mtoto hana mapemzi na bava yake
Huyo baba ni stranger tu hivyo anamuona ni mtu tu kama mtu mmwingine yoyote
Wakati huo baba anafosi kupendwa mtoto hana hisia nae
Ahaa asante. lakini na hiyo roho ipo ndani yake
Hii imemtokea mzee wangu pia sasa umri umeshaenda na hakufanikiwa kupata mtoto mwingine anatamani niwe upande wake ila nafsi imekataa kabisa.
Si utumie condom kama hutaki kubambikiwa?
Wacha kuendeleza ujinga kama huna imani na huyo dada kwa nini unafanya nar bila condom ulipokuwa unamkojolea ulijua unapanda mbegu gani.
Si utumie condom kama hutaki kubambikiwa?
Na condom utamu hupungua sana... Hlf nyie wenyewe condom hamzipendi.Vaa condom
kuna mmoja hakukataa ila amempotezea binti wa watu hadi amejifungua... jamaa haulizi kitu chochote looo