mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,297
- 8,867
Sina matatizo mkuu , mim ni mwehu ndama , gwiji la starehe na tajiri la fursa , nachofanya nikuwapa watu matumaini ..binafsi sikuwahi kumsikiliza yeyote Wala kufanya jitihada , licha ya kutokea katika umasikini lukuki lakini matamanio yangu ndio yalioyo nipa kujitegemea..na sasahivi naingia USA kama naingia chooni na Europe kama naenda karumePole sana 😢 life lina kaba
Unatype ukiwa mbweni au sio?..bro Mimi ni mwehu ndama , nimepitia moto zaidi ya babu yako , hapa nilipofikia natafuta ugonjwa wa kuniua na sio pesa , nishavuka ukoJichanganye ubweteke kwa hayo maneno uone jinsi dunia itakavyokubutua
Si useme tu umejikatia tamaa?Unatype ukiwa mbweni au sio?..bro Mimi ni mwehu ndama , nimepitia moto zaidi ya babu yako , hapa nilipofikia natafuta ugonjwa wa kuniua na sio pesa , nishavuka uko
unatafuta faraja ya umasikini wako?Si useme tu umejikatia tamaa?
Kweli wewe ni mwehuUnatype ukiwa mbweni au sio?..bro Mimi ni mwehu ndama , nimepitia moto zaidi ya babu yako , hapa nilipofikia natafuta ugonjwa wa kuniua na sio pesa , nishavuka uko
0hooo hongera sana mkuuSina matatizo mkuu , mim ni mwehu ndama , gwiji la starehe na tajiri la fursa , nachofanya nikuwapa watu matumaini ..binafsi sikuwahi kumsikiliza yeyote Wala kufanya jitihada , licha ya kutokea katika umasikini lukuki lakini matamanio yangu ndio yalioyo nipa kujitegemea..na sasahivi naingia USA kama naingia chooni na Europe kama naenda karume
"sababu ya wew kujikuta umezaliwa Africa ni ishara tosha kwamba huna cha kupoteza" hakika mkuu haya maneno yamenigusa sana🤣🤣🤣 ukisha zaliwa Africa chini ya jangwa la sahara tayari wewe Walking dead.Nimeona nyuzi nyingi za kipumbavu humu Jf , kuanzia namna ya kukaa na wanawake kwa akili, jinsi ya kufanikiwa kiuchumi na mpaka wengine kujifanya ni life coaches.
Acheni kujisumbua na uo upumbavu , ishi kwa kufuata dhamira yako , sababu ya wew kujikuta umezaliwa Africa ni ishara tosha kwamba huna cha kupoteza
Chai mzee wakati Tz tumewekewa restrictions kuingia MarekaniSina matatizo mkuu , mim ni mwehu ndama , gwiji la starehe na tajiri la fursa , nachofanya nikuwapa watu matumaini ..binafsi sikuwahi kumsikiliza yeyote Wala kufanya jitihada , licha ya kutokea katika umasikini lukuki lakini matamanio yangu ndio yalioyo nipa kujitegemea..na sasahivi naingia USA kama naingia chooni na Europe kama naenda karume