Msisimko wa mapenzi..

Ulikuwa na hofu ambayo ilipelekea mwili wako kutokuwa katika hali ya kawaida. Ila mkikutana kwa mara ya pili jiamini nawe utafurahia

Sawa sawa Comi;8342988.nimekuelewa na inabidi nifanye mechi ya marudiano maana atanidharau sana.
 
Dah! Hii stori kama inanihusu mimi vile : nilijiuliza maswali sana siku hiyo lakini nikaona nisimwambie mtu.

Siyo wew tu kaka mim hii n mara yangu ya pili inanitokea ila nilipata nguvu baada ya moja ya marafik zangu wa karibu kunieleza nae ilimtokea hivyo hivyo,lete stor mkuu ilikuwaje.
 
sasa mtu akikufanyia uswahili uwe naye peke yake akifa je?
 
kakuendea kwa mganga lazima,yani miaka 3 anatega ndoa af husemi kituu???
 
duuh sujui ni lini tutazitii amri za sir GOD
 

Hisia huanzia kwenye Ubongo, Ubongo huzaa fikra na matendo yote. Ubongo wake ulijaa negatives nyingi siku hiyo, nazo ni
1. hofu ya Usaliti

2. Hofu ya Magonjwa (sex bila kondom)

3. Hofu ya kutomzoea ki-mgegedo huyo demu!
Kwa hiyo ubongo wako ulijikita zaidi katika ku-stabilize stress level yako badala ya kuzalisha sexual hormones zinazofanya upandishe mzuka! Next time, control your stress level ili upandishe mzuka zaidi!
 
Hii inanihusu bwana yani jana tu imenitokea dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…