Msisimko wa mapenzi..

Msisimko wa mapenzi..

Mangi Mkubwa

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
107
Reaction score
29
Wanajamvini habari za jioni.

Kuna jambao ambalo limekuwa likinitokea mara chache2 leo nikasema ni bora niliweke hapa ili kujua kama ni kwangu tu na je kama ni kwangu ni tatizo au ni hali tu ambayo inatokea.

Mimi bado cjaoa ila nlikuwa na mpenzi ambaye niliishi naye kama miaka mitatu kabla ya kufikia lengo la kuona tukaachana,lakini wakati nikiwa naye kuna jambo ambalo lilikuwa likinisumbua akili.

wakati nikiwa kwenye mahusiano nilikuwa na rafiki mmoja wa kike ambaye tulikuwa tukichati naye kwa karibu sana na tukawa tumezoeana sana kiasi cha kufikia kupanga kufanya mapenzi,na kwakuwa yeye anaishi kwake basi tulipanga siku na mimi nikaenda kwake ambao ilikuwa ni wikiendi na kukaa kwa takribani siku mbili tatu.

Kama kawaida unavyojua kunapokuwa na jinsi mbili lazima matamaniyo yawepo basi nilifika kwake na timaye kukaa kula cha mchana na tukasubiri usiku akaandaa vizuri chakula cha usiku tukala,tukanywa na hatimaye tukasubiri muda wa kuanza kufanya mapenzi,ila kilichonishangaza ni kwamba uwezo wangu wa kufanya mapenzi ulishuka sana yaani tuilianza maandalizi lakini wakati wa kutaka kupanda jugoo haliwiki.

Nilijaribu kama mara mbili japo nilifanikiwa lakini uwezo wangu ulikuwa ni wa tofauti,ujue kuwa nilikuwa na mpenzi na nilivyorudi kukutana tena na mpenzi wangu nilifanya mapenzi na uwezo wangu ulikuwa mzuri tu na tatizo kama hilo halikuwepo.

wadau naomba mnisaidie tatizo hapa litakuwa ni nini?
 
ulipata kitete na hofu! pyschologically hukuwa umeseto.
 
Eti hatimaye tukasubiri muda wa kufanya mapenzi. Mapenzi hayana muda bana if u were both on fire u couldn't follow those procedures.

Au ulikua unaogopa kunasa?
 
Ulipania mechi kupita kiasi,muda wa mechi ulipofika ukapoteza umakini.
 
Dah! Hii stori kama inanihusu mimi vile : nilijiuliza maswali sana siku hiyo lakini nikaona nisimwambie mtu.
 
Ulikuwa na hofu ambayo ilipelekea mwili wako kutokuwa katika hali ya kawaida. Ila mkikutana kwa mara ya pili jiamini nawe utafurahia
 
Acha zinaa dogo utakufa siku si zako!!? Kapime ngoma kwanza ndo uje tukushauri
 
naweza nikakubaliana na wew kwa asilimia fulani

Kwanini ukubaliane nae kwa asilimia fulani?
...
For sure hali kama hiyo inasababishwa na vitu vitatu tu!!!
...1
Hofu kama jamaa alivyokuambia hapo juu!
...2
Uswahili: either mtu wa huyo m/ke or mtu wako kakufanya hivyo, sometimes hata mtu baki anaweza kukufanyia hivyo ili utulie na mmoja amtakae!
...3
Kukutana na usichokitegemea!!!
Waweza kuwa hauna hofu na wala haujafanyiwa uswahili wowote but jamaa akagoma kusimama!
Forexample: unakutana na uwanja wa taifa wakati wewe unakibamia!
Or unakutana na mbunye chafu and sometimes unaweza ukavutiwa na ke nje but ukiona mikovu yake, mzuka wote unashuka!
...
Myself ninakawaida ya kuonganisha shoka mbili hadi tatu!
But kunadee ile nipo kwa process ya kuitafuta ya kwanza yule ke alitoa vichembe chembe fulani kama vya ugali vile! Aaa wapi! Ile namalizia tu ile shoka ya kwanza na jogoo akanigomea! Sababu niliijua, koz nilikumbuka nimezama kwa ile chumvi na vile vilivyotoka ndio vilinilostisha!
 
Acha zinaa dogo utakufa siku si zako!!? Kapime ngoma kwanza ndo uje tukushauri

Nimepima kaka maana moja ya vitu ambavyo vilikuwa vinaninyima raha n hilo maana wakat naenda kusex nae mimi nilikuwa nimepima.
 
Back
Top Bottom