Hata wakiandamana watanzania wa Diaspora dunia nzima....ninauhakika kwa nchini Tanzania hilo halitakuwepo na yoyote atakayejifanya mwamba akapeleka mguu wake barabarani yatakayomkuta huko asije akasema hakuambiwa kama atarudi mzima kwa familia yake.
Tujifunze kutumia akili kidogo. Siyo kila misemo inaendana na nyakati zilizopo au tulizonazo. Hata misemo mingi ya Wahenga wetu ukiifuatilia kwa makini 90% yake kwa sasa haina tena nafasi katika Jamii yetu. Bado nazidi kusisitiza kwamba msijidanganye kutaka kufanya hilo mnalolipanga kulifanya kwa msaada wa hamasa ya Dada yenu wa Ughaibuni kwani mnaweza mkaja Kujuta na Kujilaumu sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afadharii hiyo siyo kusubiri amri ya huyo kiumbe MANGE nanilipa nini huyo mpaka niandamane [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo kwa Shem nakula ugali wake [emoji23] [emoji23] [emoji23]