Msinitag, mimi siyo tena mshabiki wa Simba

Kila la heri!
 
Hahahaha nafurahi sana kuona Makolo mnavyoteseka hasa wewe mleta mada,huwa unaletaga nyuzi kibao za kuipamba 5imba tukikwambia bila marefa hamtoboi ukawa mbishi msimu umeisha limekushuka.

We kijana wa Ngunguz tulia dawa ikuingie

Huendi kokote baki hapo hapo na hiyo simba iendelee kukunyoosha

Unateseka ukiwa wapi wee bwege 😁😁
Safisha safisha inayoendelea sasa inanifurahisha sana. Fukuza, safisha, uza.....Kibu, Chasambi, Salum, Balua, Mutale, Ateba ondoa wote hao.

Naweza kurudi mapema kuliko nilivyokuwa nategemea.
 
Bwege 😁🤣
 
Hii ndio maana halisi ya mbumbumbu
 
Usiposema umehamia timu gani bado tutakufuata tu
Pona yako ni kutuambia umehamia timu gani

🤣🤣🤣
 
Mbona unaendelea sasa kulalamika! Kumbe ulishaachana kitambo na ushabiki wa simba! 😀
 
Sijalalamika na wala sijaumia. Matokeo ya jana niliyategemea na wala hayajanishtua. Katika uzi ule wa matamasha nilisema kitakachoenda kutokea na ndiyo vimeanza kutokea.
 
Daah pole sana kolo.

Mna hali mbaya sana watani.

Suhamuona ndugu Scars GENTAMYCINE na Jadda wakisema chochote kuhusu mechi ya jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…