DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Mpira wa tz Uzus hiNaona watu wanafukunyua nyuzi na post zangu za nyuma na kunitag ili kunizodoa. Napenda kuwajulisha kuwa mimi siyo tena mshabiki wa Simba. Nimechukua likizo isiyo na muda maalumu katika mpira wa bongo.
Pale nafsi yangu itakapokubali kurudi kufuatilia mpira wa Tanzania nitafanya hivyo ila nimeona kwanza nipumzike.
Asanteni na kila la kheri.
We sema tu unasubiria Simba ikianza kufanya vizuri utarejea kuishabikia.Pale nafsi yangu itakapokubali kurudi kufuatilia mpira wa Tanzania nitafanya hivyo ila nimeona kwanza nipumzike
Viongozi wa Simba SC wako kwenye 'pre-season leadership'Naona watu wanafukunyua nyuzi na post zangu za nyuma na kunitag ili kunizodoa. Napenda kuwajulisha kuwa mimi siyo tena mshabiki wa Simba. Nimechukua likizo isiyo na muda maalumu katika mpira wa bongo.
Pale nafsi yangu itakapokubali kurudi kufuatilia mpira wa Tanzania nitafanya hivyo ila nimeona kwanza nipumzike.
Asanteni na kila la kheri.
GENTAMYCINE nasikia anasindiloa sungura lakini dozi haimuingii, hataki ayaone wala kuyasikia yanayoendelea SimbaNaona watu wanafukunyua nyuzi na post zangu za nyuma na kunitag ili kunizodoa. Napenda kuwajulisha kuwa mimi siyo tena mshabiki wa Simba. Nimechukua likizo isiyo na muda maalumu katika mpira wa bongo.
Pale nafsi yangu itakapokubali kurudi kufuatilia mpira wa Tanzania nitafanya hivyo ila nimeona kwanza nipumzike.
Asanteni na kila la kheri.
Wao wanasema wamefanikiwa kufika top 5 AfricaSportsXtra | @luambano77
“Msimu uliopita Simba ilifeli lawama akapewa mwenyekiti Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi Tyragain , mwisho wa siku Tryagain akajiuzulu”
“Msimu huu Simba imefeli Mwenyekiti ni Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ni Mo lakini analaumiwa Mangungu peke yake kwa nini Mo alaumiwi ?”
Hawa watu wamechanganyikiwa mkuuMashabiki wa simba hamuishiwi vituko. Kuna mwenzako naye aliaga kabisa kuachana na hili jukwaa la michezo baada tu ya timu yenu kufungwa na Yanga kwa mara ya 5 mfululizo! Ila cha kushangaza ninamuona tena akichangia mada za kuhusu usajili wa timu hiyo hiyo ya simba.
Kuna Watu huwa mnalazimisha sana KUFUKULIWA UVUNGU nami hasa baada ya kusikia kuwa huwa NAWAFUKUA UVUNGU vizuri sana Wapumbavu wenzenu Wengine na ndiyo maana Kutwa tu huwa MNAJIPENDEKEZA KUNAKOTUKUKA Kwangu MFUKUA UVUNGU MWANDAMIZI hapa Jamvini.GENTAMYCINE nasikia anasindiloa sungura lakini dozi haimuingii, hataki ayaone wala kuyasikia yanayoendelea Simba
Twende ukafukue uvungu wa Mzanaki mwenzakoKuna Watu huwa mnalazimisha sana KUFUKULIWA UVUNGU nami hasa baada ya kusikia kuwa huwa NAWAFUKUA UVUNGU vizuri sana Wapumbavu wenzenu Wengine na ndiyo maana Kutwa tu huwa MNAJIPENDEKEZA KUNAKOTUKUKA Kwangu MFUKUA UVUNGU MWANDAMIZI hapa Jamvini.
Si umtaje?? Kwani inawauma nini..Mashabiki wa simba hamuishiwi vituko. Kuna mwenzako naye aliaga kabisa kuachana na hili jukwaa la michezo baada tu ya timu yenu kufungwa na Yanga kwa mara ya 5 mfululizo! Ila cha kushangaza ninamuona tena akichangia mada za kuhusu usajili wa timu hiyo hiyo ya simba.