Msinicheke, video zangu za siri za faragha nikiwa chuoni nizitunze wapi kwa usalama?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Kwanza niweke wazi mapema, mnaofikiria kunishauri nifute naombeni mfunge huu uzi.

Nikiwa chuo nilikuwa napenda kuwa na kumbukumbu za picha za mabinti nliotembea nao, Ila kuna kanjia kapya ka kutunza kumbukumbu nikaanza kukatumia

Niliagiza saa zile za ukutani zenye kamera inayoweza kurekodi video.

Nilikuwa napenda sana kujiangalia navyo pafomu

Nimeoa kwa sasa na nimetulia na wife na sinaga time nazo hizi video kwa sasa kama ilivyo kwa mitihani yangu ya darasa la kwanza japo nayo nimeitunza kwenye mafaili kwajili ya ukumbusho

Sasa hizi video ninazo mpaka leo kwenye laptop nliyokuwa naitumiaga chuoni, nimezisevu kwenye folder la vyeti vyangu

Laptop hii ya chuoni siitumiagi sana maana nina nyingine ambayo ndio naitumiaga kila siku.

Nahisi laptop inaweza ikaibiwa au ikitumiwa na mtaalam basi atazikuta hizi video.

Kwangu kumbu kumbu ni kitu muhimu sana, hata ziwe za ujinga kwangu sifutagi maana ndio the real me haitabadilikaga hio, hata mitihani ambayo niliwahi kufeli vibaya mno ninayo hadi leo kama kumbu kumbu 😂😂

Je ni wapi naweza kutunza haya mafaili kwa usalama zaidi ikiwezekana kuwe na password

===
Ushauri wa mdau

Kwa kua umeuliza swali najibu swali bila matata.

Download winrar

Kusanya videos na picha zako kwenye folder moja.

Kisha right click nenda add to archive

Kwenye compression type/mode chagua store

Kwanini store?
Kwasababu kazi ya hizi program ni kupunguza ukubwa wa mafaili, ukichagua store itafanya lossless compression bila kuathiri quality ya files zako kama picha na videos.

Kuna sehemu ya password weka password ngumu ku guess changanya na symbols na numerals.

Baada ya hapo file lako unaweza kulihifadhi popote kwa usalama.

Weka google drive
Dropbox
Megashare
Au online drive yoyote.

MIMI NI NANI HADI NIHUKUMU💥
 
Daa mkuu moja muhimu fanya ufute tuu ndoo jibu tosha kusema utatunza hata uweke wapi dunia haina siri na kwa bahati mbaya umeshasema humu if wanahuni wataishi. Nazo maani by the way kompyuta hiyo mpakato ikaibiwa unadhani itakua siri tena hiyo
 
Ni msomi huyu! Na ambae taifa lilitegemea pengine kwenda kwake chuo kungeleta uvumbuzi wa angalau kutengeneza kiwanda hata kimoja cha kuchakata mawese kuwa mafuta.
Wengine wanaweza ichukulia shida yake kama fursa pia,
 
Ni msomi huyu! Na ambae taifa lilitegemea pengine kwenda kwake chuo kungeleta uvumbuzi wa angalau kutengeneza kiwanda hata kimoja cha kuchakata mawese kuwa mafuta.
Wala siitashangaa kama hujasoma chuo maana watu wengi ambao hawajasoma chuo huwa wanachukulia chuo kama sehemu ambayo ni kama hekalu fulani hivi.

Haya, Nimesoma, Nimeajiriwa na Pia nina biashara yangu niliyoajiri, kwani shida nini...
 
Ni msomi huyu! Na ambae taifa lilitegemea pengine kwenda kwake chuo kungeleta uvumbuzi wa angalau kutengeneza kiwanda hata kimoja cha kuchakata mawese kuwa mafuta.
Eti sasa hivi wasomi ndio wanaongoza kwa kufanya vitu vya kipumbavu
 
Nikiwa chuo nilikuwa napenda kuwa na kumbukumbu za picha za mabinti nliotembea nao, Ila kuna katabia flani ka wazungu nikaanza kuiga.

Niliagiza saa zile za ukutani zenye kamera basi nikawa natega iturekodi bila mwenzangu kujua,

Nilikuwa napenda sana kujiangalia navyo pafomu,

Sasa hizi video ninazo mpaka leo lwenye laptop nimezisevu kwenye folder la vyeti vyangu

Nimeoa kwa sasa na nimetulia na wife na sinaga time nazo hizi video

Ila kwangu kumbu kumbu ni kitu muhimu sana, hata ziwe za ujinga kwangu sifutagi maana ndio the real me haitabadilikaga hio, hata mitihani ambayo niliwahi kufeli vibaya mno ninayo hadi leo kama kumbu kumbu

nahisi laptop ikiibiwa au ikitumiwa na mtaalam basi atazikuta hizi video.

Je ni wapi naweza kutunza haya mafaili kwa usalama zaidi ikiwezekana kuwe na password
Weka humu kwanza wadau waone hiyo performance halafu tukushauri namna ya kuhifadhi.
 
Nikiwa chuo nilikuwa napenda kuwa na kumbukumbu za picha za mabinti nliotembea nao, Ila kuna katabia flani ka wazungu nikaanza kuiga.

Niliagiza saa zile za ukutani zenye kamera basi nikawa natega iturekodi bila mwenzangu kujua,

Nilikuwa napenda sana kujiangalia navyo pafomu,

Sasa hizi video ninazo mpaka leo lwenye laptop nimezisevu kwenye folder la vyeti vyangu

Nimeoa kwa sasa na nimetulia na wife na sinaga time nazo hizi video

Ila kwangu kumbu kumbu ni kitu muhimu sana, hata ziwe za ujinga kwangu sifutagi maana ndio the real me haitabadilikaga hio, hata mitihani ambayo niliwahi kufeli vibaya mno ninayo hadi leo kama kumbu kumbu 😂😂

nahisi laptop ikiibiwa au ikitumiwa na mtaalam basi atazikuta hizi video.

Je ni wapi naweza kutunza haya mafaili kwa usalama zaidi ikiwezekana kuwe na password
Mzee unatest sumu kwa kuilamba sio ah ah
 
Unachokitafuta utakipata!
 
Nikiwa chuo nilikuwa napenda kuwa na kumbukumbu za picha za mabinti nliotembea nao, Ila kuna katabia flani ka wazungu nikaanza kuiga.

Niliagiza saa zile za ukutani zenye kamera basi nikawa natega iturekodi bila mwenzangu kujua,

Nilikuwa napenda sana kujiangalia navyo pafomu,

Sasa hizi video ninazo mpaka leo lwenye laptop nimezisevu kwenye folder la vyeti vyangu

Nimeoa kwa sasa na nimetulia na wife na sinaga time nazo hizi video

Ila kwangu kumbu kumbu ni kitu muhimu sana, hata ziwe za ujinga kwangu sifutagi maana ndio the real me haitabadilikaga hio, hata mitihani ambayo niliwahi kufeli vibaya mno ninayo hadi leo kama kumbu kumbu

nahisi laptop ikiibiwa au ikitumiwa na mtaalam basi atazikuta hizi video.

Je ni wapi naweza kutunza haya mafaili kwa usalama zaidi ikiwezekana kuwe na password
Tuma humu hizo vidio ili ikitokea umezifuta kwa bahati mbaya unautafuta huu Uzi au unatuambia sisi member tunakurushia

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom