Msingi wa Kuelewa Maadili ya Mgomo unaoendelea wa Madaktari Tanzania

walimu wafuate isipokuwa Polisi maana majangili watatumaliza.
 
Serikali isichukulie kisingizio cha kazi ya udaktari kuwa ni wito na kuwanyanyasa. Wabunge wakijiongezea posho, serikali inasema posho hiyo ni ndogo na walistahili kubwa zaidi. Madaktari wanadai stahili zao wanaambiwa wavumilie kwani kazi yao ni wito. Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu.

Nani aliyewahi kusikia rais, vp, pm, mawaziri, au mps wakiambiwa posho ya vikao watalipwa hali ya fedha ikiwa nzuri? Kwa madaktari na watumishi wa umma ni wimbo wa kawaida kuimbwa na watawala wetu waliovimbiwa.
Hivi nchi hii wenye haki ni wanasiasa tu?
Lazima serikali iwatendee haki wananchi wake kwa kuwapa madaktari stahili zao ili wananchi tupate huduma nzuri.
Tunajua mawaziri wakiwa bungeni wanalipwa posho ya vikao na kulala nje wakati wizara zinatoa huduma zote kwenye rest house wanazofikia. Hili hatuhoji. Madaktari kudai haki zao tunasema kazi yao ni wito!! Kweli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…