Msindai (CRDB) akalia kuti kavu baada ya kuvamia jimbo la Tundu Lissu

haya masisiemu hayashibi yaani ndo maana tundu lissu aliyabatiza jina maarufu(ndaa ya njou)akimaanisha matumbo ya tembo.ijulikanavyo tembo hashibagi hata ale usiku na mchana
 
CCM ni sawa na panya wote ni wezi,pole msindai na kitambi chako kama nape jamani hata kula kwa kuzingatia mambo ya afya yanawashinda mnabaki na matumbo kama wamamama wajawazito
 
CCM ni sawa na panya wote ni wezi,pole msindai na kitambi chako kama nape jamani hata kula kwa kuzingatia mambo ya afya yanawashinda mnabaki na matumbo kama wamamama wajawazito

majitu yana roho mbaya hadi sura na maumbo yameakisi roho mbaya zao.
 
Lissu hawezi kushinda tena ubunge singida.wananchi wa ikungi wamechoshwa na ubabaishaji wa lissu.

Wewe kweli ni zaidi ya mapoyoyo wote dunia nzima.Una akili gani ya kumsema lolote mtu kama LISSU mashine ya kimataifa.Kila mtanzania popote pale alipo anatamani awe na mbunge kama LISSU kamanda wa makamanda.Alafu ukome kuwakilisha peke yako.By the way wenzako wa lumumba wako kitaa gani cku hizi? wahi ujiondoe fasta jamvini wenzako wamekuacha peke yako.
 
Wapi umeona kiongozi anawahasisha wananchi wasichangie maendeleo? Ndio kinachomtafuna lisu ikungi.watu wa eneo hilo kwa sasa wamechoka na hawataki tena kudanganyika

Taahira mkubwa we e! wapi ktk sheria umeona wananchi wanatakiwa kushurutishwa kutoa michango? Alafu we zoba hujui kuwa fedha za maendeleo zinatengwa kwenye bajeti alafu zinaliwa na mafisadi?
Tangu leo nisikuone jamvini maana huna hata chembe ya ufahamu.Muone akili kama Nape!
 
Singida mashariki wana akili xana ndo maana waliona mbali wakjichagulia mtu ambaye kila mtz anatamani angezaliwa kwao.
Heko wana wa singida mashariki mlilamba dume,iramba magh.poleni mlilamba garasa jihadharini msije mkarudia makosa yaleyale 2015!
 
Back
Top Bottom