Msindai (CRDB) akalia kuti kavu baada ya kuvamia jimbo la Tundu Lissu

Ndulungu

Member
Oct 22, 2011
85
70
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida bwana Mgana Msindai ameendelea kuwapoteza wanachama kidogo wa CCM jimboni kwa Tundi Lissu baada kujifanya kaenda kuweka kambi kufanya mkutano ya hadhara kwa lengo la kukijenga Chama cha MApinduzi ambacho wanakiri kimepoteza mvuto na hadhi kwa wananchi.

Pamoja na kuambulia idadi ndogo ya wahudhuriaji ikiwa ni pamoja na kuwapeleka watu na malori kama kawaida yao Mh.Lissu alihakikisha anapita walikopita kote walikopita ili kusafisha uwongo wa magamba, chamak ilichoshindwa kuwaondolea umaskini wananchi kwa kipindi cha nusu karne sasa.

Mh. Lissu ameendelea kukusanya kadi za magamba wachache waliosalia na Msindai bila kuambulia hata kadi moja ya CHADEMA. Inasemekana Bw.Msindai atasimamisha ziara yake katika jimbo la Tundu Lissu baada ya kuonekana haina mafanikio licha ya kutumia gharama kubwa ya kuwahonga wananchi ili warudishe kadi za CHADEMA. Habari kutoka kwa watu wake wa karibu zinasema Msindai ameukubali moto wa CHADEMA mjini Ikungi na kikiri kushindwa kuuzima.
 

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,622
2,000
Hicho kifusi kilifuat nn huko kwetu?!
Jimbo pekee singida liloona mwanga.

Mbwa amunio he uri!
 

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
2,000
Lissu hawezi kushinda tena ubunge singida.wananchi wa ikungi wamechoshwa na ubabaishaji wa lissu.
 

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
2,000
Wapi umeona kiongozi anawahasisha wananchi wasichangie maendeleo? Ndio kinachomtafuna lisu ikungi.watu wa eneo hilo kwa sasa wamechoka na hawataki tena kudanganyika
 

mzee wa miba

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
760
0
Mbona hao ccm kwetu hawafiki wakakiona cha moto
Huyu mzee CRDB mbona ni mchafu sana, inajulikana pale Chako ni Chako Dodoma wakurugenzi wengi tulikuwa tunampelekea Takrima a.k.a mlungula ili atupitishie taarifa za hesabu za LAAC za wilaya zote Tanzania,alikuwa mbaya usipompelekea hakyamungu ilikuwa hupiti kamwe.siyo msafi aslani hata huo mchezo wa kuwahonga wapiga kura hajaacha tu bado kumbe,???. wazee kama hawa vilaza tu 2015 ni kuwachinjia baharini tuu.
 

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,605
0
Magamba wamechoka mbaya.
Mpaka kufika 2015 yatabaki magofi ya CCM tu lakini wanachama hakuna.

*Viva CHADEMA.
 

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
7,376
2,000
Wapi umeona kiongozi anawahasisha wananchi wasichangie maendeleo? Ndio kinachomtafuna lisu ikungi.watu wa eneo hilo kwa sasa wamechoka na hawataki tena kudanganyika

Tatizo lenu mmefundishwa kukariri.. Tueleze kwa nini amewakataza wananchi kuchangia maendeleo then tutapima maelezo yake tuone kama yana mantiki.
 

mwanakaya

Member
Mar 17, 2012
56
150
Lissu hawezi kushinda tena ubunge singida.wananchi wa ikungi wamechoshwa na ubabaishaji wa lissu.
Wananchi wa ikungi ipi unawaongelea?ni bora ukausema huo ubabaishaji na sio kuwa general km ulivofanya!hakuna kipindi ambacho wananchi wa jimbo la tundu lissu(singida mashariki)wana amani km sasa,kwa taarifa yako tundu akifika ikungi ni mfalme utabaki kubwabwaja tu-cmm ndaa ya njou
 

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
2,000
NDAA ANJOU hahahaha,kaka unanikumbusha pale myanji(kimbwi) mwaka 2010,yiolia kila into nee maboa!!1
Wananchi wa ikungi ipi unawaongelea?ni bora ukausema huo ubabaishaji na sio kuwa general km ulivofanya!hakuna kipindi ambacho wananchi wa jimbo la tundu lissu(singida mashariki)wana amani km sasa,kwa taarifa yako tundu akifika ikungi ni mfalme utabaki kubwabwaja tu-cmm ndaa ya njou
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom