Hicho kifusi kilifuat nn huko kwetu?!
Jimbo pekee singida liloona mwanga.
Mbwa amunio he uri!
Hicho kifusi kilifuat nn huko kwetu?!
Jimbo pekee singida liloona mwanga.
Mbwa amunio he uri!
Wapi umeona kiongozi anawahasisha wananchi wasichangie maendeleo? Ndio kinachomtafuna lisu ikungi.watu wa eneo hilo kwa sasa wamechoka na hawataki tena kudanganyika
Huyu mzee CRDB mbona ni mchafu sana, inajulikana pale Chako ni Chako Dodoma wakurugenzi wengi tulikuwa tunampelekea Takrima a.k.a mlungula ili atupitishie taarifa za hesabu za LAAC za wilaya zote Tanzania,alikuwa mbaya usipompelekea hakyamungu ilikuwa hupiti kamwe.siyo msafi aslani hata huo mchezo wa kuwahonga wapiga kura hajaacha tu bado kumbe,???. wazee kama hawa vilaza tu 2015 ni kuwachinjia baharini tuu.Mbona hao ccm kwetu hawafiki wakakiona cha moto
Kitaeleweka tu..!Mbona hao ccm kwetu hawafiki wakakiona cha moto
CRDB?? Kama yuko huko, naweza hata kuhama benki.
Wapi umeona kiongozi anawahasisha wananchi wasichangie maendeleo? Ndio kinachomtafuna lisu ikungi.watu wa eneo hilo kwa sasa wamechoka na hawataki tena kudanganyika
Wananchi wa ikungi ipi unawaongelea?ni bora ukausema huo ubabaishaji na sio kuwa general km ulivofanya!hakuna kipindi ambacho wananchi wa jimbo la tundu lissu(singida mashariki)wana amani km sasa,kwa taarifa yako tundu akifika ikungi ni mfalme utabaki kubwabwaja tu-cmm ndaa ya njouLissu hawezi kushinda tena ubunge singida.wananchi wa ikungi wamechoshwa na ubabaishaji wa lissu.
CRDB?? Kama yuko huko, naweza hata kuhama benki.
Wananchi wa ikungi ipi unawaongelea?ni bora ukausema huo ubabaishaji na sio kuwa general km ulivofanya!hakuna kipindi ambacho wananchi wa jimbo la tundu lissu(singida mashariki)wana amani km sasa,kwa taarifa yako tundu akifika ikungi ni mfalme utabaki kubwabwaja tu-cmm ndaa ya njou
TUNDU LISSU 4 PRESIDENT,We ndo utahama,ndaa anjou mkubwa we**ye!Upuuzi wa kiwango cha juu kabisa! Hama nchi basi maana inatawaliwa na CCM.