Ndulungu
Member
- Oct 22, 2011
- 87
- 49
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida bwana Mgana Msindai ameendelea kuwapoteza wanachama kidogo wa CCM jimboni kwa Tundi Lissu baada kujifanya kaenda kuweka kambi kufanya mkutano ya hadhara kwa lengo la kukijenga Chama cha MApinduzi ambacho wanakiri kimepoteza mvuto na hadhi kwa wananchi.
Pamoja na kuambulia idadi ndogo ya wahudhuriaji ikiwa ni pamoja na kuwapeleka watu na malori kama kawaida yao Mh.Lissu alihakikisha anapita walikopita kote walikopita ili kusafisha uwongo wa magamba, chamak ilichoshindwa kuwaondolea umaskini wananchi kwa kipindi cha nusu karne sasa.
Mh. Lissu ameendelea kukusanya kadi za magamba wachache waliosalia na Msindai bila kuambulia hata kadi moja ya CHADEMA. Inasemekana Bw.Msindai atasimamisha ziara yake katika jimbo la Tundu Lissu baada ya kuonekana haina mafanikio licha ya kutumia gharama kubwa ya kuwahonga wananchi ili warudishe kadi za CHADEMA. Habari kutoka kwa watu wake wa karibu zinasema Msindai ameukubali moto wa CHADEMA mjini Ikungi na kikiri kushindwa kuuzima.