muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Feb 12, 2015 #2 Aiseee...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,509 Reaction score 830,003 Feb 12, 2015 #3 Salamander said: Click to expand... Nilijua tu itakuwa hii picha Salamander Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,316 Feb 12, 2015 #4 Mbona linafanana na tako?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,509 Reaction score 830,003 Feb 12, 2015 #5 Pastor Achachanda said: Mbona linafanana na tako? Click to expand... Ni 'kama' kalio Pastor Achachanda Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Pastor Achachanda said: Mbona linafanana na tako? Click to expand... Ni 'kama' kalio Pastor Achachanda
B Bongolima Member Joined Jan 23, 2015 Posts 22 Reaction score 2 Feb 12, 2015 #6 Uumbaji wamungu haudadisiwi.kumbuka jinsi alivyokuumba wewe
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 12, 2015 #7 Katika matunda nayoyachukia fenesi linaongoza
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,316 Feb 12, 2015 #8 mshana jr said: Ni 'kama' kalio Pastor Achachanda Click to expand... mshana jr kwani kuna tofauti kati ya tako na kalio? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: Ni 'kama' kalio Pastor Achachanda Click to expand... mshana jr kwani kuna tofauti kati ya tako na kalio?
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Feb 12, 2015 #9 Honey Faith said: Katika matunda nayoyachukia fenesi linaongoza Click to expand... Sijui wanasikia utamu gani kwny lile tunda, na vile wanapaka mafuta ya kula ndio kabisaaa. Mara ya Mwisho nilikula nikiwa na 8yrs
Honey Faith said: Katika matunda nayoyachukia fenesi linaongoza Click to expand... Sijui wanasikia utamu gani kwny lile tunda, na vile wanapaka mafuta ya kula ndio kabisaaa. Mara ya Mwisho nilikula nikiwa na 8yrs
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 12, 2015 #10 BIGURUBE said: Sijui wanasikia utamu gani kwny lile tunda, na vile wanapaka mafuta ya kula ndio kabisaaa. Mara ya Mwisho nilikula nikiwa na 8yrs Click to expand... Niliwahi kutest kulila aiseee nilitapika sana yani silipendi hata kuliona
BIGURUBE said: Sijui wanasikia utamu gani kwny lile tunda, na vile wanapaka mafuta ya kula ndio kabisaaa. Mara ya Mwisho nilikula nikiwa na 8yrs Click to expand... Niliwahi kutest kulila aiseee nilitapika sana yani silipendi hata kuliona
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,509 Reaction score 830,003 Feb 12, 2015 #11 Pastor Achachanda said: mshana jr kwani kuna tofauti kati ya tako na kalio? Click to expand... Ni mnyumbuliko tu wa lugha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Pastor Achachanda said: mshana jr kwani kuna tofauti kati ya tako na kalio? Click to expand... Ni mnyumbuliko tu wa lugha