kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
Nimejaribu kukaa kimya muda mrefu lakini nikiwa karibu kuangalia kila kinachoendelea kwa umakini na uangalifu mkubwa mjadala unaoendelea kuhusu alegations za mkuu wa mkoa kutumia vyeti visivyo vyake nikajiuliza watanzania tumekumbwa na nini?
1.Je hili la vyeti limekuja kiuhalali au kutuondoa kwenye lengo fulani(Deviation from the main goal)
2.Tunaoshabikia tuna uhakika au kukurupuka tu kwa ushabiki usio na tija
3.Kwa nini tunahukumu bila kuzingatia kuwa kila mtu hana hatia mpaka mahakama itapomuona kuwa ana hatia(presumption of innocence)
4.Je mkuu wa mkoa ana wajibu gani kisheria kutoa vyeti vyake ,je akitoa hamtaacha kuzusha mengine kama ooo mkewe sio raia na mengine ili mumuondoe katika right truck?
5.Je kushadadia mambo maovu au tuhuma mbaya kwa watu wenye nyadhifa fulani ni wivu, ulimbukeni au ushamba wa watanzania au umbumbumbu?
Maoni yangu ni wanasiasa kama Meya wa Ubungo ,Mchungaji wa ufufuo na wengine wote tuliotumbukizwa humo wajue sheria inasema----- Whoever alleges must prove na burden of proof in criminal matters inamuangukia anayetuhumu(prosecution side) ili kuondoa mjadala waende mahakamani na vithibitisho vyao
kama hawana nasisitiza KAMA HAWANA WAKAE KIMYA MILELE,
SPEAK NOW OR FOREVER REMAIN SILENT"
na WAMUACHE MKUU WA MKOA AENDELEE KUFANYA KAZI ZAKE KWA UELEDI ,VIWANGO NA TAADHIMA
NAWASILISHA...