Spika anatamani Rais mtimue CAG reoreo ikibidi na CAG anatamani Rais amjibu Spika kuwa simfukuzi ng'o kama alivyofanya Kwa mh. Makonda.Ulitaka kuandika nini hasa?
Spika anatamani Rais mtimue CAG reoreo ikibidi na CAG anatamani Rais amjibu Spika kuwa simfukuzi ng'o kama alivyofanya Kwa mh. Makonda.
Hizi ni jitihada za kumtoa Rais wetu kwenye Kasi yake ya kushugulikia mambo ya msingi ya wananchi.
Mimi kwangu vita dhidi ya matumizi na uuzaji wa madawa ya kulevya yanayoangamiza kizazi chetu ilikuwa muhimu kuliko kelele za mambo mengine kuhusu mh makonda. Rais alimpata mtu wa kutumainiwa kwenye vita ile. Na kama atamuona CAG kama mtu wake wa kutumainiwa katika kufichua mchwa wanaolirudisha nyuma taifa hatakubali ampoteze kizembe, Na kama atamuona spika kama mtu imara kwake basi CAG hatafua dafu. Kwenye hili asishinikizwe wacha aone yeye mwenyewe umuhimu wa watu hao Kwa taifa.Hayo mambo ya msingi na ziada kwako ni yepi ungeyaorodhesha hapa mpaka tuone hakukuwa na haja ya kufurushwa kazi huyo mkuu wa mkoa
Huyo rc ni bora kuliko kina likwelile na mafuru??
Pili kwako wewe pesa zinazopotea bila mipango ni sawa??
Punguwan wahed
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Rais JPM asingekuwa mwerevu anayesimamia miguu yake basi angeshamfukuza kazi Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Mh Makonda kwa vijineno vya watu wasioangalia mambo ya msingi na mambo ya ziada.
Hivi watanzania tunadhani Rais wetu hajui nani dhaifu kati ya CAG na Spika? kwake Inawezekana wote hakuna dhaifu, inawezekana mmojawao ni dhaifu, au inawezekana wote ni dhaifu kwake. Haya yote Rais anayafahamu, hivyo hakuna sababu ya kushinikiza jambo litokee au lisitokee kati ya CAG au Bunge.
Watanzania wana shida nyingi za kutatua zaidi ya CAG na Bunge. Hata hivyo, uchaguzi 2020 unaweza kutoa majibu ya mzozo kati ya CAG na Bunge.
Ova
Umebonga shuduKama Rais JPM asingekuwa mwerevu anayesimamia miguu yake basi angeshamfukuza kazi Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Mh Makonda kwa vijineno vya watu wasioangalia mambo ya msingi na mambo ya ziada.
Hivi watanzania tunadhani Rais wetu hajui nani dhaifu kati ya CAG na Spika? kwake Inawezekana wote hakuna dhaifu, inawezekana mmojawao ni dhaifu, au inawezekana wote ni dhaifu kwake. Haya yote Rais anayafahamu, hivyo hakuna sababu ya kushinikiza jambo litokee au lisitokee kati ya CAG au Bunge.
Watanzania wana shida nyingi za kutatua zaidi ya CAG na Bunge. Hata hivyo, uchaguzi 2020 unaweza kutoa majibu ya mzozo kati ya CAG na Bunge.
Ova
Mkuu mleta mada kaongea SAHIHI. Kuna kakikundi ka watu flani Yani kanajifanya kanajua kila kitu kuliko Rais na taasisi nzima ya Urais. Rais angekua na akili za ovyo ni wazi Makonda kitambo sana angekua kaliwa kichwa. Rais hatakiwi kuendeshwa na mihemko ya kisiasa na kwa hili jpm anajitahidi sana. Rais haiitaji kuja JF kukusikiliza wewe tindo mfuasi wa chadema ili afanye Maamuzi yake. Tumuache jamaa apige kazi.Inaonekana kwako rais ni Mungu hivyo unaamini wote wanaoshauri na kumkemea ni wajinga. Shikilia hapo hapo boss.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna Rais na pia kuna huyo uliyemtaja Nd.JPM...
Tafakari vizuri, usichanganye mambo,
au kavute kwanza Bangi kisirisiri, alafu uje uandike upya.