kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,252
- 16,171
Kama Rais JPM asingekuwa mwerevu anayesimamia miguu yake basi angeshamfukuza kazi Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam Mh Makonda kwa vijineno vya watu wasioangalia mambo ya msingi na mambo ya ziada.
Hivi watanzania tunadhani Rais wetu hajui nani dhaifu kati ya CAG na Spika? kwake Inawezekana wote hakuna dhaifu, inawezekana mmojawao ni dhaifu, au inawezekana wote ni dhaifu kwake. Haya yote Rais anayafahamu, hivyo hakuna sababu ya kushinikiza jambo litokee au lisitokee kati ya CAG au Bunge.
Watanzania wana shida nyingi za kutatua zaidi ya CAG na Bunge. Hata hivyo, uchaguzi 2020 unaweza kutoa majibu ya mzozo kati ya CAG na Bunge.
Ova